Katika kuzingatia
Afya
Mdundo huu unashughulikia masuala ya afya ya watu, ufikiaji wa huduma bora za afya, mifumo ya afya ya umma, maendeleo ya kisayansi, na masuala ya afya yanayoibuka.
Shinikizo la damu: Ripoti ya kwanza ya Shirika la Afya Duniani inaelezea athari mbaya za shinikizo la damu na njia za kuizuia
Maendeleo ya kituo cha mRNA cha Afrika Kusini ni msingi wa kujitegemea
Hali usugu kwa antibayotiki pamoja na dawa nyingine inaleta wasiwasi duniani
Taarifa ya pamoja kuhusu msaada wa dozi za chanjo za COVID-19 kwa nchi za Afrika
Kukabili mlipuko wa kisukari katika Afrika ni muhimu kama kukabili COVID-19
—Benedict Okey Oramah, Rais wa Afreximbank na Mwenyekiti, Bodi ya Wadhamini ya hazina ya Kuwajibikia COVID-19 ya Umoja wa Afrika.
—Benedict Okey Oramah, Rais wa Afreximbank na Mwenyekiti, Bodi ya Wadhamini wa Hazina ya Kukabili ya Umoja wa Afrika ya COVID-19.
Chanjo milioni 38 pekee ndizo zimepokelewa katika bara la watu wapatao bilioni 1.2
Kuzishinda changamoto za kiafya, kibinadamu, tabianchi na kiuchumi
Siku hii inayahusu Malaria Duniani– Aprili 25 – tunaangazia jinsi mpango wa jaribio la chanjo unavyoendelea Malawi
Afrika inawakilisha asilimia 26 ya idadi ya watu wote duniani lakini ina chini ya asilimia 0.1 ya uzalishaji wa chanjo duniani
Orodha ya jitihada ambazo nchi zitalazimika kufanya ili kukabiliana na athari ya janga hili ni ndefu mno.