.
Katika kuzingatia
Wanamapinduzi waliorejea: Kutimiza ndoto, kupata uhuru
Nasaba
Wamarekani Waafrika wana historia ndefu ya kurejea nyumbani
Kukabiliana na urithi wa utumwa kwa kulipa fidia
Asili ya Kiafrika
Bi. Epsy Alejandra Campbell Barr, Mwenyekiti wa Jukwaa la Kudumu la Watu wa Asili ya Kiafrika, anawahimiza wazawa wa Kiafrika na Waafrika kushirikiana katika kushughulikia changamoto zinazofanana.
Kampuni mpya zaendesha mfumoikolojia wa nishati ya jua barani Afrika
Wajasiriamali
Zinazidi kutoa suluhu za hali ya juu za nishati kwa watu wengi barani Afrika wanaokabiliwa na kupotea kwa umeme, kupunguzwa na usambazaji duni wa umeme
Kuisaka mizizi ya familia zaidi ya DNA
Nasaba
Wataalam watatu wa unasaba wanavifafanua vikwazo na mafanikio katika kutafiti ukoo wa Wamarekani Waafrika
Chaguo za Mhariri
— asema DJ Cuppy kutoka Nijeria katika Siku ya Kimataifa ya Amani. DJ Cuppy anatambulika kimataifa.
Huduma ya afyaKaribu mtu mmoja kati ya watatu duniani kote anaishi na shinikizo la damu la 140/90 mmHg, ambalo linaweza kusababisha kiharusi, mshtuko wa moyo, moyo kushindwa kufanya kazi, uharibifu wa figo, na mengine.
Chakula— Mazungumzo na Ibrahim Mayaki, Mjumbe Maalum wa Umoja wa Afrika
ubaguzi wa rangiMkakati mpya, 'Mpango wa Michezo' wa Umoja wa Mataifa na washirika utasaidia kupambana na Matamshi ya chuki kupitia ushirikiano na Michezo.
Sierra Leone— asema Waziri wa Mambo ya Kigeni David Francis
Upepo na nishati ya jua baadhi ya nishati nafuu zitumiwazo upya mbadala zilizopo
Climate Change.
Njia tano za kusaidia Afrika kujiandaa na kuchochea hatua katika COP27
Free TradeAfCFTA
Ni pamoja na sanaa za kutazamwa na maonyesho, ufundi, sherehe za kitamaduni, upigaji picha, muziki, densi, filamu, mitindo, michezo ya video, uhuishaji wa kidijitali, uchapishaji, usanifu majengo na zaidi.